• Umahiri:

Tumedhamiria kwa dhati kusambaza taarifa zitakazojenga umahiri katika nyanja zote za kilimo

• Kujifunza:

Tumedhamiria kwa dhati kutoa mafunzo kwa vitendo

• Ubunifu:

Tunavumbua namna bora ya jinsi jamii tunayoitumikia, inavyopata na kutumia taarifa za kilimo katika kuinua uzalishaji endelevu na kuongeza tija kwa kuzingatia kanuni za kilimo bora cha kisasa.

• Uadilifu:

Tutakuwa waadilifu, wenye heshima na kufuata kanuni na maadili ya jamii tunayowajibikia.

• Bidii:

Tutafanya kazi kwa bidii, umakini na juhudi katika kuwahudumia wateja wetu

Idadi ya Watumiaji

592380
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
12
106
441
591334
3174
12745
592380

Your IP: 216.73.216.158
2025-05-24 01:25

Hatimiliki©2016. Taasisi ya GardenFarm. Haki Zote Zimehifadhiwa| Sera ya Faragha| Kanusho

Designed by Empire ICT Solutions Co. Ltd