Kilimo ya Nyanya

IMG-20150508-WA0046

“Kwa sababu ya umuhimu wa Kilimo katika maendeleo  yetu ingetegemewa kuwa Kilimo na mahitaji ya Wakulima yangekuwa  ndio chanzo na kupewa kipaumbele katika utayarishaji wa mipango yote ya Uchumi wetu.Badala yake tumechukulia Kilimo kama sekta ya pembezoni au kama shughuli nyingine yoyote ya kawaida ambayo inatumiwa na sekta nyingine bila yenyewe kupewa umuhimu wowote ule…..Ni lazima sasa tuache kukipuuza Kilimo.Ni lazima tukifanye Kilimo ndio shina na mwanzo wa mipango yetu yote ya maendeleo.Kwani kwa hakika,Kilimo ndio msingi wa maendeleo yetu”       – See more at: http://ugani.or.tz/#sthash.GieG8gi0.dpuf